Ni biashara gani nikifanya naweza kupata faida 10k kwa siku?

Kwaiyo
K= 10,000

Pale ulisema 10K
Unamaanisha 10 ×10,000 = 100,000 Faida..

Kupata faida Ya Laki kwa Siku kwa Mtaji Wa chini mpwa Sahau...!

Mitaji ya Chini huwa tunatafuta 'mkono uende Kinywani na njia ya Maliwato isiote Majani tu'.....

Mengine ni kujitafutia Sonona na Msongo mawazo..!
ficha ujinga wako.
 
Hesabu za wapi hizi? Siku zote 1K itakuwa ni sawa na 1000.

Hayo ya 10000 nadhani yapo kwenye dunia yenu.
 
Back
Top Bottom