kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 405
Kwa mwenye uelewa wa biashara ambazo zinafanya vizuri maeneo ya shule ya msingi naomba anifahamishe ni aina gani au bidhaa gani nzuri asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikukopie idea flani naiona huku chamazi, unajua cake flani hivi zinakua na kikaratasi zinakua 10pcs per pact. Sasa huku kuna mtu anawauzia moja moja but anachukua ile cream ya kuandika kwenye cakes anawaandikia vijimaneno au majina basi vibinti vya primary anawachukulia sana hela.
Sizifahamu hizo keki unaweza kunisaidia jinsi ya kuzipataNgoja nikukopie idea flani naiona huku chamazi, unajua cake flani hivi zinakua na kikaratasi zinakua 10pcs per pact. Sasa huku kuna mtu anawauzia moja moja but anachukua ile cream ya kuandika kwenye cakes anawaandikia vijimaneno au majina basi vibinti vya primary anawachukulia sana hela.
Zile za duara zenye vikaratasi zinauzwa sana kwenye stand za mabasi.Sizifahamu hizo keki unaweza kunisaidia jinsi ya kuzipata