kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 405
Ngoja nikukopie idea flani naiona huku chamazi, unajua cake flani hivi zinakua na kikaratasi zinakua 10pcs per pact. Sasa huku kuna mtu anawauzia moja moja but anachukua ile cream ya kuandika kwenye cakes anawaandikia vijimaneno au majina basi vibinti vya primary anawachukulia sana hela.
Sizifahamu hizo keki unaweza kunisaidia jinsi ya kuzipataNgoja nikukopie idea flani naiona huku chamazi, unajua cake flani hivi zinakua na kikaratasi zinakua 10pcs per pact. Sasa huku kuna mtu anawauzia moja moja but anachukua ile cream ya kuandika kwenye cakes anawaandikia vijimaneno au majina basi vibinti vya primary anawachukulia sana hela.
Zile za duara zenye vikaratasi zinauzwa sana kwenye stand za mabasi.Sizifahamu hizo keki unaweza kunisaidia jinsi ya kuzipata