Ni wazo zuri.Biashara ya sa8 paka sa4 usiku ni Bar kama huko vizur anzisha iyo Bar au Grocery ili jion watu wakitoka kazin tuwe tunakuja kula mtungi, sema hujasema una capital kias gan
Network marketing piah unaweza kufanya, kikubwa angalia company inahusika na mambo gani.Nina imani wengi tumeajiriwa ila tunatamani kuongeza kipato zaidi.
Naomba tuchangieni biashara ipi tunaweza fanya tukiwa kazini.
Kwa mimi kazi ambayo naweza fanya nikiwa kazini ni za kuuza bidhaa online na baadae nikitoka mida ya saa kumi nafanya delivery.
Je, wewe unafanya ishu gani na huku umeajiriwa???