Unaitwa tu hivyo lakini unatoka Kigoma kwa Waha.Jaribu udongo wa pemba
Duuuuh mbon uwo ushuru na usafirishaji mkubwa ivoAisee utapigwa kodi za ajabu acha tuu...
Juzi kati nilitoa fridge kutoka Znz to Dar, Bei ya fridge ni Tsh 200,000/-
Kubeba mpk bandarini Tsh 10,000/-
Kupakia Tsh 5000/-
TRA Znz Tsh 5000/-
Usafiri kwa boat Tsh 80,000/-
TRA pale Dar Tsh 100,000/-