Ni Biashara gani unaweza kutoa Zanzibar na kuuza Bara na ikaweza kukulipa kwa haraka?

Ni Biashara gani unaweza kutoa Zanzibar na kuuza Bara na ikaweza kukulipa kwa haraka?

halaf mbon watu wengi wanalalamika kwamba kutoaka Znz to bongo ushuru unakua mkubwa walat vile vile ukitoa bidhaa bongo kuja znzn pia unakatwa ushuru ila kiupande wa kutoa bidhaa bongo kuja znz sio sana kuskia watu wanalalamika ivi ni kwa nini?
 
Inategemea uko mkoa gani na ni nini kinatembea sana. Sana sana watu wanafuta vitu vya electronic. used ziko nying sana kuna makontena kibao kila mwezi yanaingia kutoka nje.
 
Inategemea uko mkoa gani na ni nini kinatembea sana. Sana sana watu wanafuta vitu vya electronic. used ziko nying sana kuna makontena kibao kila mwezi yanaingia kutoka nje.
Ok asant
 
Aisee utapigwa kodi za ajabu acha tuu...
Juzi kati nilitoa fridge kutoka Znz to Dar, Bei ya fridge ni Tsh 200,000/-
Kubeba mpk bandarini Tsh 10,000/-
Kupakia Tsh 5000/-
TRA Znz Tsh 5000/-
Usafiri kwa boat Tsh 80,000/-
TRA pale Dar Tsh 100,000/-
 
Duuuuh mbon uwo ushuru na usafirishaji mkubwa ivo
 
Huku Znz vitu si gharama sana shida ipo pale bandarini Dar
Ndioooo na sjui kwa nin Dar wanatoza ushuru mkubwa sana ivo ni tofaut ukitoka dar to znz ushuru wake
 
Back
Top Bottom