Ni biashara gani ya kuingiza 1000 kwa siku naweza kufanya?

Sorry wewe umewahi kufanya biashara miongoni mwa hizo tajwa?
 
Sorry wewe umewahi kufanya biashara miongoni mwa hizo tajwa?
Hapana sijawahi lakini nimesha kuwa karibu na watu wanaofanya biashara hzo hzo hapo K.koo na nkaona wanavyo pata fedha na kubadilika kabisa na kuingia kwenye biashara zingine
 
Sijaongelea mashamba ya Zinga Bagamoyo, nazungumzia shamba la kijijini kwako ulikotoka kasulu huko n the like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…