ungesema ana mtaji wa sh ngapi ndio ingekuwa rahisi kumshauri.maana unaweza kusema afanye biashara ya mbao kumbe nguvu yake ni kufanya biashara ya mitumba
kama ni biashara angeenda kwenye section ya business ndio kuna wafanya biashara hapa ni mapenzi na mapendo maana yake ukiulizia kazi humu utaambiwa kazi za kimapenzi..muweni mnaweka topics kwenye sections zinazohusika:mod: