ni biashara ganii inayoweza kukuingiza kipato kizuri?

ni biashara ganii inayoweza kukuingiza kipato kizuri?

Gaelle

Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
16
Reaction score
9
kama mtu anahitaji kufanya biashara ungemshauri aanze na biashara gani ili imsaidie kumpa kipato....
 
ungesema ana mtaji wa sh ngapi ndio ingekuwa rahisi kumshauri.maana unaweza kusema afanye biashara ya mbao kumbe nguvu yake ni kufanya biashara ya mitumba
 
Wakuu huyu ni member mpya , mpeni ushauri na si kebehi.

kama ni biashara angeenda kwenye section ya business ndio kuna wafanya biashara hapa ni mapenzi na mapendo maana yake ukiulizia kazi humu utaambiwa kazi za kimapenzi..muweni mnaweka topics kwenye sections zinazohusika:mod:
 
biashara nzuri ni yenye interest na wewe
we unapenda nini?
 
Back
Top Bottom