Ni biashara ipi ukiwekeza kidogo unapata faida kubwa?

Wenye makampuni ya ushauri,mpoo?
 
Kama wewe ni mtaalamu,bingwa wa meno n.k inakuhusu hii
Kama wewe ni mtaalamu wa mambo ya afya katika kipengele fulani,inakuhusu hii n.k
 
Kama una ujuzi wowote wa kipekee wa kitaalamu..unaweza kufanikisha hili
 
Zipo mkuu...

1) Kubet
2) Kukodi silaha kwa 20000 nakuenda kuiba 80000
3) kujiuza kama ww ni mtoto wa kike( kama wa kiume haiwezekani)
4) kuuza madawa ya kulevya
5)kununua mbegu za 20000 kupanda ,kupalilia mpka kuvuna utapata 80000 yako
 
ha ha ha hawa walioweka hii principle ya 80/20 walikosea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…