Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ni biashara zipi;ukiwekeza kidogo unapata matokeo makubwa? (80/20 principle)
Mfano: umewekeza 20,000 ukapata mauzo 80,000
Mfano: umewekeza 20,000 ukapata mauzo 80,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unaandika unaota mbona haueleweki ndo mana umejibiwa vibay mkuu poleNi biashara zipi;ukiwekeza kidogo unapata matokeo makubwa? (80/20 principle)
Mfano: umewekeza 20,000 ukapata mauzo 80,000
Nimejibiwa na nani vibayaHivi unaandika unaota mbona haueleweki ndo mana umejibiwa vibay mkuu pole
Kama huna utaalamu wowote,huwezi kunielewaHivi unaandika unaota mbona haueleweki ndo mana umejibiwa vibay mkuu pole
Inakuwaje?Qnet
Wew ndio hauna utaalamu wowote umewekeza eti 20000 mauzo 80000 biashara ya wapi hiiKama huna utaalamu wowote,huwezi kunielewa
Ulishawahi kujiuliza kwa nini wanasheria/wakili wanapata pesa nyingi?Wew ndio hauna utaalamu wowote umewekeza eti 20000 mauzo 80000 biashara ya wapi hii
Mimi natoa elimu bure.....ili nikueleweshe tu na sipati faida yoyote.Wew ndio hauna utaalamu wowote umewekeza eti 20000 mauzo 80000 biashara ya wapi hii
ha ha ha ha haIngiza humu, weka elfu 20 tafuta odd 4 kila siku utaona hiyo 80
Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakusanye koroshow kama kangomba!Ni biashara zipi;ukiwekeza kidogo unapata matokeo makubwa? (80/20 principle)
Mfano: umewekeza 20,000 ukapata mauzo 80,000
ha ha ha ha haKakusanye koroshow kama kangomba!
"Heri mbwa hai kuliko Simba mfu"
ha ha ha hawa walioweka hii principle ya 80/20 walikosea?Zipo mkuu...
1) Kubet
2) Kukodi silaha kwa 20000 nakuenda kuiba 80000
3) kujiuza kama ww ni mtoto wa kike( kama wa kiume haiwezekani)
4) kuuza madawa ya kulevya
5)kununua mbegu za 20000 kupanda ,kupalilia mpka kuvuna utapata 80000 yako
ha ha ha hawa walioweka hii principle ya 80/20 walikosea?