Ni biashara ipi ukiwekeza kidogo unapata faida kubwa?

boss kama kweli hiz biashara zina faida hiyo ya 20000 upate 80000 mbona hao wanaofanya hizo biashara wengi wao maisha yao ya chin sana au kuna maelezo mengine hujayaweka hapo kama yapo yaweke.....
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sasa wale si wanameki askari wangu! Sasa utapiga faida ya 20k ukalewee bia kama wenzio wanaopatia hela kwenye AC?
 
boss kama kweli hiz biashara zina faida hiyo ya 20000 upate 80000 mbona hao wanaofanya hizo biashara wengi wao maisha yao ya chin sana au kuna maelezo mengine hujayaweka hapo kama yapo yaweke.....
Biashara zinazoangukia hapa zipo ila nyingi ni zile za kuuza utaalamu wako katika kutoa huduma..wanaziita 'consultancy'.Hujawahi kusikia mtu anatolewa nchi fulani kwenda nchi nyingine kutoa tu ushauri na akalipwa kiasi kikubwa?Unawezakuta mpaka amefikia huo utaalamu aliwekeza 100M+ lakini faida anazopata ni zaidi ya hiyo.
 
okey ila hapo kwenye kuwekeza ndo mtihani sasa milion 100+ sio za michezo chezo
 
okey ila hapo kwenye kuwekeza ndo mtihani sasa milion 100+ sio za michezo chezo
Mfano,kijana anayetafuta ajira akiamua kujifunza/kuwekeza katika hivi vitu kwa pamoja lazima baada ya siku ataanza kuhesabu ela kuliko zile alizowekeza: ajifunze (udereva+abobee kwenye ufundi wa magari + umeme wa magari+kupaka rangi magari+ujuzi wa kuosha magari).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…