Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Una maanisha nini mkuuUongeza nyama mama, mfupa inaumiza meno.
Sent using simu mbovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maanisha nini mkuuUongeza nyama mama, mfupa inaumiza meno.
Sent using simu mbovu
hahahaha, ana maana, ongeza maelezo kidogo (nyama)Una maanisha nini mkuu
boss kama kweli hiz biashara zina faida hiyo ya 20000 upate 80000 mbona hao wanaofanya hizo biashara wengi wao maisha yao ya chin sana au kuna maelezo mengine hujayaweka hapo kama yapo yaweke.....Kimsinigi ni biashara msizozipenda! Kuuza kashata, karanga, crisps, ice cream n.k!
😀😀😀😀😀 sasa wale si wanameki askari wangu! Sasa utapiga faida ya 20k ukalewee bia kama wenzio wanaopatia hela kwenye AC?boss kama kweli hiz biashara zina faida hiyo ya 20000 upate 80000 mbona hao wanaofanya hizo biashara wengi wao maisha yao ya chin sana au kuna maelezo mengine hujayaweka hapo kama yapo yaweke.....
Biashara zinazoangukia hapa zipo ila nyingi ni zile za kuuza utaalamu wako katika kutoa huduma..wanaziita 'consultancy'.Hujawahi kusikia mtu anatolewa nchi fulani kwenda nchi nyingine kutoa tu ushauri na akalipwa kiasi kikubwa?Unawezakuta mpaka amefikia huo utaalamu aliwekeza 100M+ lakini faida anazopata ni zaidi ya hiyo.boss kama kweli hiz biashara zina faida hiyo ya 20000 upate 80000 mbona hao wanaofanya hizo biashara wengi wao maisha yao ya chin sana au kuna maelezo mengine hujayaweka hapo kama yapo yaweke.....
okey ila hapo kwenye kuwekeza ndo mtihani sasa milion 100+ sio za michezo chezoBiashara zinazoangukia hapa zipo ila nyingi ni zile za kuuza utaalamu wako katika kutoa huduma..wanaziita 'consultancy'.Hujawahi kusikia mtu anatolewa nchi fulani kwenda nchi nyingine kutoa tu ushauri na akalipwa kiasi kikubwa?Unawezakuta mpaka amefikia huo utaalamu aliwekeza 100M+ lakini faida anazopata ni zaidi ya hiyo.
Mfano,kijana anayetafuta ajira akiamua kujifunza/kuwekeza katika hivi vitu kwa pamoja lazima baada ya siku ataanza kuhesabu ela kuliko zile alizowekeza: ajifunze (udereva+abobee kwenye ufundi wa magari + umeme wa magari+kupaka rangi magari+ujuzi wa kuosha magari).okey ila hapo kwenye kuwekeza ndo mtihani sasa milion 100+ sio za michezo chezo