Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Ni kweli mkuu uko sahihiawjakosea kabisa yani,ila kuiachive kwenye biashara ni ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu uko sahihiawjakosea kabisa yani,ila kuiachive kwenye biashara ni ngumu
Inawezekana kabisa
hasa hizi biashara zinazotegemea utaalamu,ndio asilimia kubwa huwa zinalipa kwa mfumo huo
Mkuu nikukosoe kidogo hapa,wakili anategemea elimu yake ambayo alipoteza muda kwa miaka 20,yaani kwa kiufupi mtaji wake Ni akili tu/elimu aliyonayo kichwani na sio kuweka pesa Kama ulivyotaka ww kwenye mada yako.Ulishawahi kujiuliza kwa nini wanasheria/wakili wanapata pesa nyingi?
Namba 1 na 5 hazina uhakika,Ni probarbility unaweza kuweka hyo pesa na ukaikosa yote.Zipo mkuu...
1) Kubet
2) Kukodi silaha kwa 20000 nakuenda kuiba 80000
3) kujiuza kama ww ni mtoto wa kike( kama wa kiume haiwezekani)
4) kuuza madawa ya kulevya
5)kununua mbegu za 20000 kupanda ,kupalilia mpka kuvuna utapata 80000 yako
Kimsinigi ni biashara msizozipenda! Kuuza kashata, karanga, crisps, ice cream n.k!Ni biashara zipi;ukiwekeza kidogo unapata matokeo makubwa? (80/20 principle)
Mfano: umewekeza 20,000 ukapata mauzo 80,000
forexNi biashara zipi;ukiwekeza kidogo unapata matokeo makubwa? (80/20 principle)
Mfano: umewekeza 20,000 ukapata mauzo 80,000
Ni kweli,pia hizi biashara haziitaji garama kubwa za kiuendeshajiKimsinigi ni biashara msizozipenda! Kuuza kashata, karanga, crisps, ice cream n.k!
Biashara yoyote inahitaji uwekezaji,ata kama angesoma miaka 50 malipo anayopata yanazidi garama alizotumia kusomea.Mkuu nikukosoe kidogo hapa,wakili anategemea elimu yake ambayo alipoteza muda kwa miaka 20,yaani kwa kiufupi mtaji wake Ni akili tu/elimu aliyonayo kichwani na sio kuweka pesa Kama ulivyotaka ww kwenye mada yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
For sure this is realKimsinigi ni biashara msizozipenda! Kuuza kashata, karanga, crisps, ice cream n.k!
Umeuzia wapi?Hizo biashara baadhi nishawahi fanya karanga Zina changamoto zake, kifupi faida si kubwa kivile
Karanga nauzia kariakoo mkuuUmeuzia wapi?
Haya sasa ni kazi ya mwenye nia, kutenganisha pumba na mchele.Biashara ya service kama mc,mpika debe na upatu, dalali, mwizi, jambazi, kibaka, shoga, blowjob, msafisha viatu kwa tauro, kuuza Choma au chemsha maindi na Karanga, kufulia watu nguo, kukata miti na kusafisha bustani au garden za watu, kuzibua mitaro, kuokota makopo na mifuko plastic, kuosha nagari, kukata nywele kwa mkasi kitana na kiwembe, kupora, kupiga mizinga, kuuza vocha
Uongeza nyama mama, mfupa inaumiza meno.Hizo biashara baadhi nishawahi fanya karanga Zina changamoto zake, kifupi faida si kubwa kivile