Ni biashara ndogondogo zipi zinalipa kwa haraka kwa Dar es salaam?

Mwana wa Nuru

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
589
Reaction score
412
Kwenu wana jamvi, Salaam.
Ninataka kuanzisha biashara ndogondogo halali Dar es salaam lakini sijui ni ipi inaweza kulipa kwa urahisi bila ya kuwa na tension kubwa. Naomba mapendekezo ya biashara aina tatu za mtaji wa milioni mbili kila moja. Asante.
 
msingi wake ni kiasi gani mkuu? milioni mbili, kwa uhuru zaidi.
 

uza maji ya kandoro kariakoo. ajiri vijana kama wanne, kila mwisho wa wiki kila mmoja anakukabidhi hamsini elfu,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…