Wakuu kwa jicho la kibiashara jina la Lissu ni brand inayoweza kuuza kwa hapa bongo. Unadhani ni bidhaa gani inaweza ku-fit hilo jina na kufanya vyema sokoni?
Binafsi nimefikiria pombe kali na energy drinks. Pia mashine, mabati, nondo na bidhaa zingine jamii ya chuma