Ni bidhaa za kuanzia kiasi gani zinastahili kutolewa risiti hapa Tanzania?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Naomba kujuzwa suala hili?

Sisi machinga tunaomba mfumo wa risiti kwa ajili yetu ili na si tushiriki katika kujenga uchumi na taifa letu, Endapo mmetuondolea mfumo wa vibali vya elfu ishirini basi huku ambapo tupo rasmi tunaomba tutengenezewe mfumo rasmi wa utoaji risiti kwani hili litaongeza imani kwa wateja wetu dhidi ya uhalali wa bidhaa ambazo wanazinunua kwetu.

Receipts always increase confidence to buyers
 
Naomba kujuzwa suala hili?,
Sisi machinga tunaomba mfumo wa risiti kwa ajili yetu ili na si tushiriki katika kujenga uchumi na taifa letu, Endapo mmetuondolea mfumo wa vibali vya elfu ishirini basi huku ambapo tupo rasmi tunaomba tutengenezewe mfumo rasmi wa utoaji risiti kwani hili litaongeza imani kwa wateja wetu dhidi ya uhalali wa bidhaa ambazo wanazinunua kwetu.
::Receipts always increase confidence to buyers::
Sio bidhaa tu hata huduma pia zinatakiwa risiti. Chochote unachonunua dai risiti, hata kama ni cha 200.
 
Kwenye huduma hasa za kiserekali kumekaa vizuri tatizo lipo huku mitaani utamuona mtu kununua dude kubwa tu au shati au suruali hana risiti. na ni bidhaa ya elfu na ushee
Wananchi hawaoni umuhimu wa kudai risiti, serikali imewajeruhi sana wananchi wake, hasa na huu ujinga wa tozo
 
Naomba kujuzwa suala hili?,
Sisi machinga tunaomba mfumo wa risiti kwa ajili yetu ili na si tushiriki katika kujenga uchumi na taifa letu, Endapo mmetuondolea mfumo wa vibali vya elfu ishirini basi huku ambapo tupo rasmi tunaomba tutengenezewe mfumo rasmi wa utoaji risiti kwani hili litaongeza imani kwa wateja wetu dhidi ya uhalali wa bidhaa ambazo wanazinunua kwetu.
::Receipts always increase confidence to buyers::
Mkuu nenda tu TRA watakupatia hiyo mashine ya EFD cha msingi waeleze azma yako na uzalendo kwako.

Sie wauza karanga na kahawa humu vijiweni hatutaki kusikia hayo ya kodi na tozo wala huduma ya kutoa risiti.
 
Ni sahihi na jambo zuri sana kama mtanzania unafikia hatua hiyo, ila taasisi zetu za mapato siyo rafiki kwa wafanyabiashara kama wewe, ukijitia nia wao hawapo kinia, unaweza kuja kufungwa tu.
 
Back
Top Bottom