Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Sio bidhaa tu hata huduma pia zinatakiwa risiti. Chochote unachonunua dai risiti, hata kama ni cha 200.Naomba kujuzwa suala hili?,
Sisi machinga tunaomba mfumo wa risiti kwa ajili yetu ili na si tushiriki katika kujenga uchumi na taifa letu, Endapo mmetuondolea mfumo wa vibali vya elfu ishirini basi huku ambapo tupo rasmi tunaomba tutengenezewe mfumo rasmi wa utoaji risiti kwani hili litaongeza imani kwa wateja wetu dhidi ya uhalali wa bidhaa ambazo wanazinunua kwetu.
::Receipts always increase confidence to buyers::
Kwenye huduma hasa za kiserekali kumekaa vizuri tatizo lipo huku mitaani utamuona mtu kununua dude kubwa tu au shati au suruali hana risiti. na ni bidhaa ya elfu na usheeSio bidhaa tu hata huduma pia zinatakiwa risiti. Chochote unachonunua dai risiti, hata kama ni cha 200.
Wananchi hawaoni umuhimu wa kudai risiti, serikali imewajeruhi sana wananchi wake, hasa na huu ujinga wa tozoKwenye huduma hasa za kiserekali kumekaa vizuri tatizo lipo huku mitaani utamuona mtu kununua dude kubwa tu au shati au suruali hana risiti. na ni bidhaa ya elfu na ushee
Mkuu nenda tu TRA watakupatia hiyo mashine ya EFD cha msingi waeleze azma yako na uzalendo kwako.Naomba kujuzwa suala hili?,