Ni bidhaa zipi zisizo na kodi?

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Ni bidhaa zipi zinazoingia ndani ya Tanzania kutoka nje ya nchi bila kodi Tanzania? Kwa mfano pedi za wanawake nasikia hazina kodi ila sijaprove.
 
masai dada, Hizo Pedi Walizifutia VAT Mwaka Wa Fedha 2018/19 Wakitegemea Zitashuka Bei. Baada Ya Kuona Hakuna Tofauti Wameirudisha.
 
Zinakuwa hazina kodi kabisa au ushuru wake unakuwa mdogo...?
 
Hazina VAT ila zina import Duties mkuu. Hizo trekita ni VAT ndo hazina. Kodi si unajua iko mara mbili?
Human Corpes/ Maiti
Baadhi ya Dawa na Vifaa tiba
Goods for Agriculture/ Tractor
Empty LPG/mitungi ya Gesi
 
Zero Tax haipo, sana huwa hazina VAT ila kodi zingine ziko pale pale. Huwezi agiza trekita lilo chakaa ukazani utatoa bure u apigwa zile za uchakavu kama kawa
Zinakuwa hazina kodi kabisa au ushuru wake unakuwa mdogo...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…