masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Ni bidhaa zipi zinazoingia ndani ya Tanzania kutoka nje ya nchi bila kodi Tanzania? Kwa mfano pedi za wanawake nasikia hazina kodi ila sijaprove.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo sasa zina kodi?Hizo Pedi Walizifutia VAT Mwaka Wa Fedha 2018/19 Wakitegemea Zitashuka Bei.
Baada Ya Kuona Hakuna Tofauti Wameirudisha
kuzi import??Naskia hata tende hazina kodi
Unalipia ushuru wa bandar tukuzi import??
okeyy...niceUnalipia ushuru wa bandar tu
mkuu naona uko vizuri.Human Corpes/ Maiti
Baadhi ya Dawa na Vifaa tiba
Goods for Agriculture/ Tractor
Empty LPG/mitungi ya Gesi
condom.hazina kodiCondom
kuzi import??
hahahhaaSasa uta export kwani unalima?
Naskia hata tende hazina kodi
Human Corpes/ Maiti
Baadhi ya Dawa na Vifaa tiba
Goods for Agriculture/ Tractor
Empty LPG/mitungi ya Gesi
Zinakuwa hazina kodi kabisa au ushuru wake unakuwa mdogo...?
mkuu dadavua kidogoHazina VAT ila zina import Duties mkuu. Hizo trekita ni VAT ndo hazina. Kodi si unajua iko mara mbili?