mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Happy birthday,karibu na Mimi nimetimiza kadhaa Leo hiiNipeni hata malike nusu karne, Asante MUNGU .
Asante best.Maisha mareeefu nakutakia
Hongera na mungu akuongeze miaka mia,shikamooo mama.!Nipeni hata malike nusu karne, Asante MUNGU .
Marahaba mwanangu, ndio maana hunikuti natukanana humu unaweza kutukanwa na wanao.Hongera na mungu akuongeze miaka mia,shikamooo mama.!
Marahaba Kenzy .Shikamoo.?
Kweli kabisa ,mama yangu mzazi amekuzidi miaka 3 tu. Mimi nna 35 tu.Marahaba mwanangu, ndio maana hunikuti natukanana humu unaweza kutukanwa na wanao.
Thanks we lazima nikujibu kimombo umekaa kibishoo kidogo!.Hongera sana mama kubwa
hongeraMarahaba Kenzy .
Ni dada kidogo tu nahisi atakuwa wa 66 mie 69 kila la heri mwanangu.Kweli kabisa ,mama yangu mzazi amekuzidi miaka 3 tu. Mimi nna 35 tu.
Ba mkubwa alikata kona siku nyingi alikimbia na dogodogo anasubiri watoto wapate kazi arudi analialia kama Baba Diamond, lakini hiyo hainizuii kuwa na furaha kufikisha nusu karne.Happy Bday Mama Kubwa msalimie Baba Kubwa kama yupo lakin