KhaaaaHappy Birthday
Japo jina lako "Mama kubwa" limekaa kimchakato!
Nimekuhamu
Twende mamsera chaap kuna jambo muhim sana kutoa hamu,Nimekuhamu
HahahaKhaaaa
Umefikaje huku
Nami nakisubiria iko kikokoteo nikione kama kimesonga mbele au kimestick pale km cha wema sepetu miaka yote kipo 28 [emoji23]Ngoja nikakalikuleti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipitie hapa bunju
Namba nilikutumia PM jamaniiHahaha
Birthday yako lini nikuandalie zawadi?
Usije ukaulizia zile zawadi zako maana
namba sikupewa!
Hukutuma bhana!Namba nilikutumia PM jamanii
Lini umeacha kuniamini eti!Hukutuma bhana!
Maana sijawahi kupata pm yako
HahahaLini umeacha kuniamini eti!
Au mpaka niandike hapa jukwaani?!
Subutu....Lini umeacha kuniamini eti!
Au mpaka niandike hapa jukwaani?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hahaha
We ngoja nitakufuata mwenyewe mpaka chumbani huko!
Sema suuu....
Ongea taratibu asisikieee....
Ufikishaji wa hii zawadi umekua mgumu sana![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
We nitumie mazawadi yangu