Ni birthday yangu 50 years

Ni birthday yangu 50 years

Kama ni muajiriwa omba kustaafu mapema ule pension yako bila stress

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Kama ni muajiriwa omba kustaafu mapema ule pension yako bila stress

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hata hamu ya kutoka sina niko PPF mafao asilimia 32 kwa mshahara wangu nikipata mil 20 mie mwanamke. Ngoja niwasogeze vijana wangu kwanza.
 
Pokea heshima yako kwanza mama!!! na mungu akuzidishie miaka mingi zaidi ya hiyo na yenye baraka tele.
 
Back
Top Bottom