demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Wananchi tumemaliza msimu kwa kubeba treble maara 2 mfululizo. Hii ni rekodi mpya, hakika hapo mwanzo hapakuwahi kutokea na timu ikabeba trebble mara 2 mtawallia.
Shukrani kwa wananchi wote!
Tumemaliza msimu na ni muda wa kujiandaa na msimu mpya.
Kuelekea mapumziko haya Benchi zima la Ufundi limemaliza mkaataba wake na klabu. Wapo baadhi ya wachezaji pia kutokana na perfomance yao wamevutia macho ya vilabu mbalimbali.
Sisi kwa Upande wa Wananchi Tuna matamanio Makubwa sana ya kubakiwa na Fiston Mayele, licha ya kuwa moaataba wake utaisha 2024 bado tunayosababu ya kuendelea kuwako naye na kunufaika naye ukizingatia bado angali na 29yrs.
Zipo taarifa kuwa Nabi yuko kwenye mazungumzo na Kaizer Chiefs na kama mambo yakienda vyema basi atasaini kandarasi pamoja na benchi lake lote la ufundi.
Tuna kila sababu ya kutotumia nguvu kubwa ya kifedha kumbakisha Nabi coz mafanikio ya klabu ktk misimu hii miwili yamechangiwa pakubwa na ubora wa kikosi na sio mbinu maridadi za mwali. Yes! Si kwamba nina mdharau Nabi but huu ndio ukweli niuonao mimi.
Inafaa zaidi kuwekeza nguvu za kifedha katika kuongeza wachezaji kadhaa na wa viwango vikubwa na. Sio kuwekeza ktk benchi la ufundi lisilo na uwezo wa kutufikisha fainal ya CAFCL next season.
Nina amini kuwa wapo walimu wazuri sokoni hivi sasa wenye kuweza kutufikisha fainali ya CAFCL kwa kutumia rasilimali watu ambao tutakuwa tumewekeza katika usajili huu.
-Alamsiki-