Ni bora aondoke Nabi ila Mayele abaki

Ni bora aondoke Nabi ila Mayele abaki

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Wananchi tumemaliza msimu kwa kubeba treble maara 2 mfululizo. Hii ni rekodi mpya, hakika hapo mwanzo hapakuwahi kutokea na timu ikabeba trebble mara 2 mtawallia.

Shukrani kwa wananchi wote!

Tumemaliza msimu na ni muda wa kujiandaa na msimu mpya.

Kuelekea mapumziko haya Benchi zima la Ufundi limemaliza mkaataba wake na klabu. Wapo baadhi ya wachezaji pia kutokana na perfomance yao wamevutia macho ya vilabu mbalimbali.

Sisi kwa Upande wa Wananchi Tuna matamanio Makubwa sana ya kubakiwa na Fiston Mayele, licha ya kuwa moaataba wake utaisha 2024 bado tunayosababu ya kuendelea kuwako naye na kunufaika naye ukizingatia bado angali na 29yrs.

Zipo taarifa kuwa Nabi yuko kwenye mazungumzo na Kaizer Chiefs na kama mambo yakienda vyema basi atasaini kandarasi pamoja na benchi lake lote la ufundi.

Tuna kila sababu ya kutotumia nguvu kubwa ya kifedha kumbakisha Nabi coz mafanikio ya klabu ktk misimu hii miwili yamechangiwa pakubwa na ubora wa kikosi na sio mbinu maridadi za mwali. Yes! Si kwamba nina mdharau Nabi but huu ndio ukweli niuonao mimi.

Inafaa zaidi kuwekeza nguvu za kifedha katika kuongeza wachezaji kadhaa na wa viwango vikubwa na. Sio kuwekeza ktk benchi la ufundi lisilo na uwezo wa kutufikisha fainal ya CAFCL next season.

Nina amini kuwa wapo walimu wazuri sokoni hivi sasa wenye kuweza kutufikisha fainali ya CAFCL kwa kutumia rasilimali watu ambao tutakuwa tumewekeza katika usajili huu.

-Alamsiki-
 
Mayele hakuwepo na Yanga leo imeshinda
 
Ferguson hakuwa na wachezaji wenye majina makubwa lkn alitisha ulaya alipoondoka timu imepoteana mpaka Leo ,sasa we sema tu kocha aondoke uone matokeo yake
Kipindi hiko hakukuwepo na Oil Money kwenye Football.
 
Ali nikera game ya fainali ya kwanza Dar. Kisinda, Kibwana, Akizi Ki. Mwenyeji Ume fungwa mapema. Upo home Ground. Kisinda ni puto tu, Azizi Ki, puto. Then, sub ana fanya dk 78.
Nabi ni kocha wa kawaida sanaaaa.
 
Ana bahati kuwapo na wachezaji wenye aura na matokeo.
 
Wananchi tumemaliza msimu kwa kubeba treble maara 2 mfululizo. Hii ni rekodi mpya, hakika hapo mwanzo hapakuwahi kutokea na timu ikabeba trebble mara 2 mtawallia.

Shukrani kwa wananchi wote!

Tumemaliza msimu na ni muda wa kujiandaa na msimu mpya.

Kuelekea mapumziko haya Benchi zima la Ufundi limemaliza mkaataba wake na klabu. Wapo baadhi ya wachezaji pia kutokana na perfomance yao wamevutia macho ya vilabu mbalimbali.

Sisi kwa Upande wa Wananchi Tuna matamanio Makubwa sana ya kubakiwa na Fiston Mayele, licha ya kuwa moaataba wake utaisha 2024 bado tunayosababu ya kuendelea kuwako naye na kunufaika naye ukizingatia bado angali na 29yrs.

Zipo taarifa kuwa Nabi yuko kwenye mazungumzo na Kaizer Chiefs na kama mambo yakienda vyema basi atasaini kandarasi pamoja na benchi lake lote la ufundi.

Tuna kila sababu ya kutotumia nguvu kubwa ya kifedha kumbakisha Nabi coz mafanikio ya klabu ktk misimu hii miwili yamechangiwa pakubwa na ubora wa kikosi na sio mbinu maridadi za mwali. Yes! Si kwamba nina mdharau Nabi but huu ndio ukweli niuonao mimi.

Inafaa zaidi kuwekeza nguvu za kifedha katika kuongeza wachezaji kadhaa na wa viwango vikubwa na. Sio kuwekeza ktk benchi la ufundi lisilo na uwezo wa kutufikisha fainal ya CAFCL next season.

Nina amini kuwa wapo walimu wazuri sokoni hivi sasa wenye kuweza kutufikisha fainali ya CAFCL kwa kutumia rasilimali watu ambao tutakuwa tumewekeza katika usajili huu.

-Alamsiki-
😀😀😀
 
Acha mambo Yako aisee
 
Ali nikera game ya fainali ya kwanza Dar. Kisinda, Kibwana, Akizi Ki. Mwenyeji Ume fungwa mapema. Upo home Ground. Kisinda ni puto tu, Azizi Ki, puto. Then, sub ana fanya dk 78.
Nabi ni kocha wa kawaida sanaaaa.
Kolo wee
 
Treble? Hebu tupe ufafanuzi
Huyu ndugu kaiweka na Ngao ya jamii ndani kwa kujiamini kabisa anakwambia, Wananchi tumemaliza msimu kwa kubeba treble maara 2 mfululizo...
Upande ule wenye matumizi mazuri ya ubongo ni wawili!!
 
Back
Top Bottom