PostGE2025 Ni bora CCM wakae kimya kuliko kutafuta njia ya kujisafisha

PostGE2025 Ni bora CCM wakae kimya kuliko kutafuta njia ya kujisafisha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

andazi

Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
63
Reaction score
269
Kwenye mitandao ya kijamii nakutana na video kadhaa za machawa na pia za viongozi mbali mbali wa CCM wakijaribu kujisafisha na kutafuta nani wakumtupia mzigo wa haya yaliotokea nchini.

Ushauri wangu kwao, ni bora wakae zao kimya huenda miezi au miaka kadhaa huko mbeleni wananchi wanaweza kutuliza hasira zao juu yao ila hivi wanavyoendelea kuongea kwa kutaka kujisafisha na kuhakikishia wanazidi kuongeza hasira za wananchi na kitakacho kuja kutokea hakitasaulika kamwe.

Na hawa machawa wa CCM uku JF acheni kupost chochote kuhusu haya yaliyotea nchini acheni watu waongee tu maana kuongea kwao ni njia ya kutuliza maumivu yao
 
Unaambiwa nchi sasa hawa CCM ni kama wanaishi kama digidigi wanatafutwa kila kona na sasa wameamua kujikana sio CCM uwezi kuona wamevaa nguo zao wala kujipitisha mtaani
 
Back
Top Bottom