Ni bora Freeman Mbowe ajiuzulu ili kulinda heshima yake


Vipi huyu aliyeingia kwa kudra za Mola huna neno lolote la ushauri kwake?
 
Mwenzako family yake inatajwa kwenye Uhuru wa Nchi hii!!..Jina lake ni zao la Uhuru wetu!!..alafu unasema nini?!!..Unajua heshima Ndugu Mwandishi?!!..Kama yeye ni miongoni waanzilishi wa chama hicho unataka nini tena!!..Au unadhani yeye hadi wakati huu amekosa nini ndani na njee ya nchi hii Ndugu mwandishi?!!..Umesikia na kumjua huyu Mbowe kwenye mitandao tu au kwenye siasa pekee?!!..Unajua yeye ni mmoja wa wafanyabiashara wazawa wa siku Nyingi?!!.. Ndugu mwandishi hebu Fikiria ulichotaka kutueleza vizuri!!!
 
Ama kweli Mbowe anawapeleka puta. Endeleeni kuhangaika na Kamanda Mbowe badala ya kutafuta chakula cha watoto wenu. Kwa taarifa yenu, sisi CHADEMA ndo tutaamua link Mbowe apumzike na so wanalumumba.
 
Nimekusoma mkuu, ila mimi nilikuwa nashauri tu kama vile ww unaweza kumshauri mtu yoyote. Japo anaweza kuuchukua ushauri wang kama ulivyo au kuuwacha.
 
Kachukue 7000 kule lumumba
 
Sasa mbona hujaainisha hizo kashfa? Ainisha hizo kashfa bila hivyo unaleta propaganda tuu
 
Ushauri huu ungempa hangaya ungekua wa maana sana
 
Akili ya darasa la saba. Mnatuharibia chama chetu.
 
Pole sana, kawaeleze waliokutuma kuwa amekataa.
 
Yaani hata akijiuzulu Mhe. Mbowe bado vugu vugu la mabadiliko litapata mabalozi wake.
Mbowe anawahangaisha sana!
 
Mimi napendekeza Mbowe akuoe ili roho yako itulie
 
fomerly prime minister, hapa unataka kutuambia nini? Wewe kweli ni mpwa wake Mbowe au umejibandika kututapeli.
Unao ushahidi wa madai yako kuwa Mbowe ni mhalifu au mtukutu kiasi kuwa jamii imemchoka, au unasema tu kwa sababu umo JF.
 
Usitumie neno fomerly kama haujui tafsiri yake.
 
Natumai leo ushauri wangu utazingatiwa.
 
fomerly prime minister, hapa unataka kutuambia nini? Wewe kweli ni mpwa wake Mbowe au umejibandika kututapeli.
Unao ushahidi wa madai yako kuwa Mbowe ni mhalifu au mtukutu kiasi kuwa jamii imemchoka, au unasema tu kwa sababu umo JF.
Nilikuwa namaanisha former. Hiyo ni mistake ndogo ndogo inayoweza kufanywa na yeyote hapa JF. Kikubwa ushauri wangu unaonekana kupata nguvu leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…