Ni bora Freeman Mbowe ajiuzulu ili kulinda heshima yake

Usitumie neno fomerly kama haujui tafsiri yake.
It was just small mistake ya uandishi, lkn nafikiri ujumbe wangu ulifika. Na leo hii unaonekana kufanyiwa kazi na kila mtu ili kulinda heshima yake, japo kwa kipindi kile hakuna aliekubali ushauri wa kumtaka Mbowe ajiuzulu.
 
Sijamsikia mtu akimtaka mjomba wako Mbowe ajiuzuru. Maneno yote humu ni asigombee Uenyekiti wa chama chake.

Amandla...
 
Ama kweli Mbowe anawapeleka puta. Endeleeni kuhangaika na Kamanda Mbowe badala ya kutafuta chakula cha watoto wenu. Kwa taarifa yenu, sisi CHADEMA ndo tutaamua link Mbowe apumzike na so wanalumumba.
Kwahiyo kwa sasa na wewe ni miongoni mwa wana CDM wanaotaka Mbowe apumzike au unasimama na kina Yericko Nyerere kupinga Mbowe asijiuzulu?
 
Sijamsikia mtu akimtaka mjomba wako Mbowe ajiuzuru. Maneno yote humu ni asigombee Uenyekiti wa chama chake.

Amandla...
Ni kupishana matamshi ya kauli tu kutokana na muda uliyopo, ila lengo ni moja tu la kutaka jamaa asiendelee kuing'ang'ania ofisi ili angalau kujilindia heshima yake.
 
Unakimbizwa na nani?

Amandla...
Kamanda angesikiliza ushauri wangu akaamua kujiuzulu mapema, angejijengea heshima ambayo imeanza kuvuliwa sasa hivi na watu wasiomtaka agombee.

Ni kama vile Mugabe alivyoonekana kituko baada ya kushurutishwa kwa nguvu aachie kiti. Ila kina Nyerere na Mandela walioachia kiti bila shuruti mpaka leo heshima yao ni kubwa Afrika na duniani kwa ujumla.
 
Unakimbizwa na nani mpaka unashindwa kuandika vizuri?

Amandla..
 
Back
Top Bottom