Hekima ni Mwalimu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 472
- 815
Kati ya hivyo viwili wewe una kipi mkuu? Maanake hapo ukikosa kimoja ni ngumu kuwa na kingine.Kwa maana mali zaweza kuibiwa au kudhulumiwa lakini ufahamu utakupatia au kufundisha namna ya kuzitafuta na kuzilinda
Ndiyo maana nasema
Heri aliye pungukiwa na mali kuliko aliye pungukiwa na ufahamu
Heri mimi niliepungukiwa na Mali Ila Na ufahamu😅Kwa maana mali zaweza kuibiwa au kudhulumiwa lakini ufahamu utakupatia au kufundisha namna ya kuzitafuta na kuzilinda
Ndiyo maana nasema
Heri aliye pungukiwa na mali kuliko aliye pungukiwa na ufahamu
Hahaha tatizo ukisema mtu unaonekana unajisifu.Kati ya hivyo viwili wewe una kipi mkuu? Maanake hapo ukikosa kimoja ni ngumu kuwa na kingine.