Ni bora kuwa na ufahamu kuliko kuwa na mali

Hekima ni Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
472
Reaction score
815
Kwa maana mali zaweza kuibiwa au kudhulumiwa lakini ufahamu utakupatia au kufundisha namna ya kuzitafuta na kuzilinda

Ndiyo maana nasema

Heri aliye pungukiwa na mali kuliko aliye pungukiwa na ufahamu
 

Attachments

  • 1792178826527.jpg
    127.4 KB · Views: 4
Kati ya hivyo viwili wewe una kipi mkuu? Maanake hapo ukikosa kimoja ni ngumu kuwa na kingine.
Hahaha tatizo ukisema mtu unaonekana unajisifu.
Mimi nipo balance kwenye mizani ya mali na ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…