Th3the
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,327
- 1,779
Habari wanaJF
Kitu nilichojifunza kwa sasa kama hauna moyo wa kutoa na hauna uwezo wa kutoa ni bora ukae single kuliko kuumizwa kichwa na hawa wafanyabiashara wa sasa.
Yani kila unapogusa iwe ni rafiki(I mean positive friendship) au mahusiano lazima mizinga ihusike. Wengine una chat nao au kuwapigia simu hata kabla ya salamu unasikia naumwa mara nina njaa.
Ukimuuliza mbona kimya siku hizi jibu lao ni sina vocha. Hizo zote ni tricks za kukupeleka kwenye ma shoot ili usikwepe.
Ukiwa na marafiki wengi wa kike au wapenzi inabidi uwe na hela tu la sivyo utaaibika; bora ukae singo tu.
Kiukweli wazazi wetu waliyafaidi haya maisha ya mahusiano wakati wao kwa sababu hakukuwa na mambo kama haya.
Ushauri:Tutafute hela maana hawa tunaowapenda wao wanapenda hela. Mimi nafikiria kuwa single