Ni bora kuwa single kuliko kuumizwa kihisia na “wafanyabiashara” wa karne hii

Ni bora kuwa single kuliko kuumizwa kihisia na “wafanyabiashara” wa karne hii

Mkuu ushauri tafuta wako mmoja mkali hapo wekeza-wekeza nguvu zako Sabu sio wewe pekee uliemuona hivo vishawishi vingi,wanawake wanashawishika kulingana na matamanio ya kila mmoja(matamanio hayafanani)-mpatie kila kitu akija kwenye ndoa au akikuzalia masharti hupungua unakula Bata ukila dagaa au mchicha nae atakula kikubwa mtunzie heshma kwani atakuwa amehama Rika toka Rika la maonesho kuja rika la utekelezaji,ondoa hofu ndivo walivo,usiogope hasara ukijaribu watano utapata mmoja-kumbuka mwanamke Ni kiungo mhm katika family huwezi kwepa kuoa/kuolew labda uwe uwe na genetic barriers
 
Back
Top Bottom