round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
option A mkuu ina faida nyingi sana zikiwemo kupata kifungua kinywa na lunch nyumbani.A.
Upange karibu na ofisi - kodi kwa kodi kubwa
au
Uende mbali kwa nusu ya kodi ya kuwa karibu, Gharama za usafiri kubwa na usafiri ni taabu
Muda ni jambo la muhimu sana, kila kitu kinahitaji muda. Bora upange karibu na kazi kuliko kupanga mbali na bado hakuna unafuu wa gharama.Kuna gharama ya muda na uchovu. Binafsi huwa naizingatia mno.
Hata kama ni kwako ndio uishi Bunju halafu ofisini K/koo au Posta ni gharama sanaMbali hakufai labda kama ni kwako
Kabisa mkuu. Halafu asubuhi unachokutana nacho huwa kinaboresha au kuharibu siku nzima. Sasa kama kila siku asubuhi unaanza na tabu za usafiri unaweza usiipende kazi yako.Muda ni jambo la muhimu sana, kila kitu kinahitaji muda. Bora upange karibu na kazi kuliko kupanga mbali na bado hakuna unafuu wa gharama.
For sureKuna gharama ya muda na uchovu. Binafsi huwa naizingatia mno.
Mkuu kwenye kichwa cha habari umesahau kumalizia "KWA WANAOISHI DAR"Upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa
Mfano: Upange kwa gharama X, umbali wa ofisi dakika 10
au
Uende mbali kwa nusu ya kodi ya kuwa karibu, Gharama za usafiri kubwa na usafiri ni taabu
Mfano: Upange mbali kwa nusu ya gharama X, usafiri laki 1, unaamka alfajiri kuwahi usafiri
Inakera sana hasa kwa dar ni balaa tupu yani kabla hujafika kazini ushatokwa na jasho kwa kurupushani za usafiri.Kabisa mkuu. Halafu asubuhi unachokutana nacho huwa kinaboresha au kuharibu siku nzima. Sasa kama kila siku asubuhi unaanza na tabu za usafiri unaweza usiipende kazi yako.
Sehemu ili iwe mbali inatakiwa iwe kilomita ngapi kutoka kazini kwako?Upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa
Mfano: Upange kwa gharama X, umbali wa ofisi dakika 10
au
Uende mbali kwa nusu ya kodi ya kuwa karibu, Gharama za usafiri kubwa na usafiri ni taabu
Mfano: Upange mbali kwa nusu ya gharama X, usafiri laki 1, unaamka alfajiri kuwahi usafiri
kwa kuongezea,ISIZIDI KODI YA MIEZI SITA!KWA MSHAHARA MMOJA🤝Hakikisha gharama ya kodi haizidi mshahara wako