Ni bora upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa au upange mbali kwa gharama kubwa na usafiri wa taabu

1. Fanya hesabu za gharama za kupanga jirani+nauli+muda
2. Fanya hesabu za gharama za kupanga mbali+nauli+muda
3. Angalia pia mambo ya kijamii kama ni sehemu ya maamuzi ya kupanga mbali au jirani.
4. Chukua maamuzi sahihi uishi kwa furaha.
 
Ushajiuliza kwa nini wahindi na waarabu wengi wanaishi upanga, posta na k.koo?

Kama unapanga ishi karibu ila ukijenga hata ukiishi mbali haina shida
 
Bora karibu kwa gharama
 
kama Huko unapoishi ni karibu na kazini na Kwa mke wako/familia Yako basi hakuna haja ya kuhama.

Kheri wewe uchelewe kurudi ila wao wawahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…