Kaa na marafiki zako mi nipate hela marafiki nitawapata nikienda vacation Paris.upweke unazungumziwa hapa ni kukosa watu wanaoweza kukuhali bila pesa
Wewe ulitaka wafate nini?jaribu kuielewa maada basi, hao marafiki unaoenda kula nao bata ni wamefata pesa kuliko wewe
Pesa Yangu ndo Rafiki,upweke unazungumziwa hapa ni kukosa watu wa kukujali kwa mioyo yao kama ulivyo.
pesa inaweza kununua hata watu lakini sio kukujali sincerly
Utajiri waweza kuwa mzigo na umasikini ni mzigo mzito zaidiSasa ukiwa tajiri si unaita tu mademu ukiwa mpweke.
Umasikini sikieni tu.
Ni bora niwe tajiri mwenye upweke na hii hali kwa sasa ndio nayoipitia kuliko umasikini wenye kudhalilisha1. Uwe tajiri mwenye bilioni+ yako lakini ni mpweke, watu pekee unaoweza kuwa nao ni wale wa kununua kama bidhaa ama kujifanya wapo karibu na wewe ili wafaidi pesa zako (machawa, wapambe, gold diggers)
2. uwe n mshahara wa laki 2 lakini una marafiki na ndugu kibao wanaokujali licha ya hali yako kiuchumi
Umaskini ni ugonjwa mbaya sana sikieni tu kwa watu...1. Uwe tajiri mwenye bilioni+ yako lakini ni mpweke, watu pekee unaoweza kuwa nao ni wale wa kununua kama bidhaa ama kujifanya wapo karibu na wewe ili wafaidi pesa zako (machawa, wapambe, gold diggers)
2. uwe n mshahara wa laki 2 lakini una marafiki na ndugu kibao wanaokujali licha ya hali yako kiuchumi
Kila mtu anawatu wake loyal.upweke unazungumziwa hapa ni kukosa watu wa kukujali kwa mioyo yao kama ulivyo.
pesa inaweza kununua hata watu lakini sio kukujali sincerly