Ni bora vita vya Iran na Israel na Marekani vimeisha tumepumzika

Ni bora vita vya Iran na Israel na Marekani vimeisha tumepumzika

andazi

Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
63
Reaction score
269
Kila nikikumbuka kelele za watu fulani katika vita kati ya Israel, USA na Iran, nakosa raha.

Duniani kuna watu wabishi, tulipigiwa kelele kuwa Netanyahu kafa, sijui waziri wake wa ulinzi kafa, mkuu wa majeshi kafa.

Tukaenda mbali zaidi kutumiwa video za AI kibao

Sasa hivi wameshinda vita.

Tofauti na ushindi wa vita, wamekuwa world super power.
 
Mkuu andazi 🤣🤣🤣 kwenye ubora wako.
Vita haijaisha, wako kipindi cha kwanza, makocha wanatoa maelekezo baada ya hapo kitanuka vibaya mno.
Jiandae kuteseka
 
Kwanza kwanini unaandika kwa kulalamika hivi kama wewe ndio ulikuwa unashambuliwa na Iran?

Ukweli ni kuwa Iran hadi muda huu anaongoza 3 bila na tulitoa maoni yetu ulidharau sana humu kwa kuendeshwa na chuki.
 
Back
Top Bottom