Ni bora wazungu warudi tu kama zamani kutawala waziwazi kuliko hivi sasa kuwatumia ndugu zetu kina Mbowe

Kule kupora pesa halali za watu ni kufanya nini!?
 
Kule kupora pesa halali za watu ni kufanya nini!?
Umejuaje kuwa ni halali? Je kama Mbowe anajisifia ujinga maana jiwe hayupo, siku zote marehemu hupewa lawama ata kama hausiki, nchi hii wakwepa Kodi ni wengi sana
 
Sijasoma hili andiko lako! Ila akili yangu imeniambia utakuwa umeandika ugoro tu mwanzo mwisho!

Uongo, kweli?
Na ameandika ugoro hasa maana anasema wazungu wana ajenda mbaya dhidi ya Waafrika, halafu anasema chanjo imeua wazungu! Kwa hiyo ni ajenda mbaya dhidi ya Waafrika kwaajili ya kuua wazungu.

Kuna watu hawajafikia hata uwezo wa kuchangia, lakini wanaamini wanaweza kutoa mada na kufanya analysis.
 
unapotoa thread uwe na ushahidi ni lini mbowe alitumiwa na wazungu. Utajashtakiwa, kulipa fidia au kufungwa kipumbavu kwa ushabiki wa kijinga.
 
Mimi ndio maana sitaki itokee tuongozwe na wachagga. Tuongozwe na makabila aina yote Tanzania ila sio wachagga.
 
Chini kwenye ardhi ya Tanzania, kote baharini na nchi kavu pia, kuna bidhaa ambazo karibia nchi zote duninani hazina bidhaa hizo!
 
Aliyesema Dunia uwanja wa fujo alikuwa anamaanisha.
 
Holy crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…