Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu tabia zao??Kwa kweli namkubali mbwa anaeitwa "GREAT DANE"
View attachment 2912102
Size yao, nguvu ya sauti ya kubweka, uchangamfu na nguvu.
Ukajiua xvideos ahahahLakini siku nyingine uandike headingi ambayo haishituwi, maana nilivyo soma tu hapo wazee wa doggie nikafungua uzi mbio...[emoji12]
Ni kama doberman flani hiviKwa kweli namkubali mbwa anaeitwa "GREAT DANE"
Size yao, nguvu ya sauti ya kubweka, uchangamfu na nguvu.
HahaNaogopa sana mbwa yaani siwezi kuwafuga....Kuna nyumba niliwahi kupanga Ina mbwa ilinifanya niwe nawahi kurudi kabla hawajafunguliwa...ikitokea nmechelewa nitatafuta alternative pa kulala
Hamjakoma tu!Kwa kweli namkubali mbwa anaeitwa "GREAT DANE"
Size yao, nguvu ya sauti ya kubweka, uchangamfu na nguvu.