Ni breed ipi ya mbwa ndio ndoto yako ya kuwa naye nyumbani?

Ni breed ipi ya mbwa ndio ndoto yako ya kuwa naye nyumbani?

Naogopa sana mbwa yaani siwezi kuwafuga....Kuna nyumba niliwahi kupanga Ina mbwa ilinifanya niwe nawahi kurudi kabla hawajafunguliwa...ikitokea nmechelewa nitatafuta alternative pa kulala
yaani nyumba ya kupanga mtu anafuga mbwa?
Aiseeeh
 
Mwenye nyumba ameweka mbwa kwenye hizo apartments na anazihudumia mwenyewe
Aiseeeh nilijua mesikia yote kumbe nilikuwa najidanganya😂😂
Yaan nyumba umepangisha halafu unawawekea wapangaj mbwa na unawahudumia! Kwamba anazuia nini kisiibiwe?
Kisheria sio sawa nyumba unayopangisha labda kama na yeye anaishi humo humo.
Halafu Madam hizo appartment ni za wapi na mbwa mnawekewa?
 
Kwa ajili ya ulinzi tu
 
Kwa ajili ya ulinzi tu
nendeni mkamshitaki, huyo mwenye nyumba ni kichaa! Yaani ili iweje aingie gharama za kulisha mbwa sehemu ambayo haishi. Halafu anaamin vp kama wateja wake wote wanapenda hao mbwa?
Kwa kweli sijawahi kusikia hii appartment unawekewa mpaka na mbwa.
Kwahyo anatoka nyumban lkwake kuja kuwalisha au kuna mtu kamuweka awe anawalisha?
 
Kuna mtu kamuweka kwa kazi hiyo
Hata hivyo nilishatoka hapo
Aliweka kwa ajili ya ulinzi maana kulikuwa na apartment nne na wote tulikuwa ni watu wa safari kwahiyo kuimarisha ulinzi akaweka mbwa na mlinzi mmoja
 
Mbwa wa kienyeji tu ndio ndoto yangu. Nimpe mayibabu yote ambayo anapata wa kizungu plus misosi ya kutosha ikibidi anakula vizuri kuzidi hata hao wa kizungu. Hii ndio ndoto yangu
 
Napenda Mbwa wetu wa kiasili African dog hawa hawana uzungu mwingi Tena kuugua Ni nadra wanaendana na asili ya mazingira kikubwa washibe Yaani hawanaga gharama za kuumiza kichwa Kabisa
 
Kwa kweli namkubali mbwa anaeitwa "GREAT DANE"

Size yao, nguvu ya sauti ya kubweka, uchangamfu na nguvu.

Mimi binafsi jamii ya mbwa ninayopenda ni Rott japo kwa sasa nimetokea kumhusudu sana Beligium Malinois kutokana na uwezo wa akili. Japo anashida moja tu ukimwagiza kukamata hajali hatari iliyoko mbele yake ataruka tu kujaribu kufikia kile ulichomwagiza
 
Back
Top Bottom