Ni breed ipi ya mbwa ndio ndoto yako ya kuwa naye nyumbani?

Kwa kweli namkubali mbwa anaeitwa "GREAT DANE"



Size yao, nguvu ya sauti ya kubweka, uchangamfu na nguvu.
 
Mimi ndoto yangu ni kufuga tu kuku wengi sana wa kienyeji ๐Ÿ“๐Ÿ”๐Ÿฃ๐Ÿค, kwa ajili ya kitoweo, na pia kuuza.

Mbwa ๐Ÿฆฎ๐Ÿ•โ€๐Ÿฆบna paka๐Ÿ†๐Ÿ…, kwa kweli mtanisamehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ