The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
yaani nyumba ya kupanga mtu anafuga mbwa?Naogopa sana mbwa yaani siwezi kuwafuga....Kuna nyumba niliwahi kupanga Ina mbwa ilinifanya niwe nawahi kurudi kabla hawajafunguliwa...ikitokea nmechelewa nitatafuta alternative pa kulala
mbwa wa mabara mshenzi kabiasa
Mwenye nyumba ameweka mbwa kwenye hizo apartments na anazihudumia mwenyeweyaani nyumba ya kupanga mtu anafuga mbwa?
Aiseeeh
Aiseeeh nilijua mesikia yote kumbe nilikuwa najidanganya😂😂Mwenye nyumba ameweka mbwa kwenye hizo apartments na anazihudumia mwenyewe
Kwa ajili ya ulinzi tuAiseeeh nilijua mesikia yote kumbe nilikuwa najidanganya😂😂
Yaan nyumba umepangisha halafu unawawekea wapangaj mbwa na unawahudumia! Kwamba anazuia nini kisiibiwe?
Kisheria sio sawa nyumba unayopangisha labda kama na yeye anaishi humo humo.
Halafu Madam hizo appartment ni za wapi na mbwa mnawekewa?
Wanawake wa jf mmeiona dyudyu😆😆
nendeni mkamshitaki, huyo mwenye nyumba ni kichaa! Yaani ili iweje aingie gharama za kulisha mbwa sehemu ambayo haishi. Halafu anaamin vp kama wateja wake wote wanapenda hao mbwa?Kwa ajili ya ulinzi tu
Kuna mtu kamuweka kwa kazi hiyonendeni mkamshitaki, huyo mwenye nyumba ni kichaa! Yaani ili iweje aingie gharama za kulisha mbwa sehemu ambayo haishi. Halafu anaamin vp kama wateja wake wote wanapenda hao mbwa?
Kwa kweli sijawahi kusikia hii appartment unawekewa mpaka na mbwa.
Kwahyo anatoka nyumban lkwake kuja kuwalisha au kuna mtu kamuweka awe anawalisha?
Sawa lakini huyo wa kwenye GD bali DobermanKwa kweli namkubali mbwa anaeitwa "GREAT DANE"
Size yao, nguvu ya sauti ya kubweka, uchangamfu na nguvu.
Mimi binafsi jamii ya mbwa ninayopenda ni Rott japo kwa sasa nimetokea kumhusudu sana Beligium Malinois kutokana na uwezo wa akili. Japo anashida moja tu ukimwagiza kukamata hajali hatari iliyoko mbele yake ataruka tu kujaribu kufikia kile ulichomwagizaKwa kweli namkubali mbwa anaeitwa "GREAT DANE"
Size yao, nguvu ya sauti ya kubweka, uchangamfu na nguvu.