Ni Broker yupi ni bora kwenye Forex?

Ni Broker yupi ni bora kwenye Forex?

Unahangaika kuuza strategy wenzio tumecool, unataka kunifundsha kuuza strategy et, kaa na upupu wako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unanyongo kinoma mkuu, huna tofaut na mchawi!!! Cjaku4c kununua strategy yangu ila naona povu linakutoooka,, mwenye uzi katulia ila ww kunD,u ndio linakuwasha sana!!! Tulia mdogo wangu huu mchezo hauhitaj hasira yyt! We kama unastrategy yako kausha na uache wenye uhitaj waonge! 1love
 
asee msiharibu huu uzi wakuu maana mnakoelekea sasa[emoji3]
 
Habari wazee,

Nimeshafanya mazoezi ya kutosha nataka kuanza kutrade, Nahitaji kujua ni Broker yupi anafaa. Sihitaji matapeli au wahunihuni.

NB nimejaribu Kusignup kwa baadhi, ila naambiwa nchi yangu hairuhusiwi.

Naombeni muongozo wataalamu kwa kutrade

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza achana na mabroka wanaotumia mpesa sijui tigopesa...

1. Pepperstone.

2. Choice fx (kama sijakosea jina).

Hao ndio mnao wajua ila namba moja ndio the best.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uzi umetupwa humu jamaa kapigwa KO za kutosha sana, kabla ya kutafuta brokers mtafute kwanza akushauri.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Nisaidie kuhusu freelance Ndg... Njia zipi nitumie kupata payment kiusalama..nikiwa Tanzania... Nimejiunga muda si mrefu...sijajua employer atanilipa kwa Njia gani..??

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshapata kazi? Kama bado usihangaike kwanza kujua namna ya kutoa pesa, endelea kutafuta tenda.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom