Ni burudani sana kuingalia Manchester city

Ni burudani sana kuingalia Manchester city

Pep gurdiola...huyu ni genius kamfanya kdb na Sterling kuwa watu hatari mnoo,ukimwangalia kevin unaweza kujihisi ni unamwangalia mchezaji bora duniani 3 times.
Raheem ndio messi mchanga pale epl anauchakata mpira wa miguu kuwa rede,bwana mdogo hakamatiki tena.
Bernado huyu ndio balaaa zaidi

Mimi ni shabiki wa chelsea lakini nasema man cty ndio team inayotoa burudani kwa sasa kuliko timu yoyote.
KWANINI UMEITOSA CHELSEA FOOTBALL CLUB "CFC"? KWANZA TUANZIE HAPO.
 
Back
Top Bottom