interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
KWANINI UMEITOSA CHELSEA FOOTBALL CLUB "CFC"? KWANZA TUANZIE HAPO.Pep gurdiola...huyu ni genius kamfanya kdb na Sterling kuwa watu hatari mnoo,ukimwangalia kevin unaweza kujihisi ni unamwangalia mchezaji bora duniani 3 times.
Raheem ndio messi mchanga pale epl anauchakata mpira wa miguu kuwa rede,bwana mdogo hakamatiki tena.
Bernado huyu ndio balaaa zaidi
Mimi ni shabiki wa chelsea lakini nasema man cty ndio team inayotoa burudani kwa sasa kuliko timu yoyote.
Wapi nimeandika kuitosa club yangu pendwa?? Mbona hata barca na Dortmund huwa nawasifia kwa kandanda safi lenye mvutoo wakipekeeKWANINI UMEITOSA CHELSEA FOOTBALL CLUB "CFC"? KWANZA TUANZIE HAPO.
Najua.[emoji23]Mimi sio shabiki wa city
Ila ukiwatizama city kama unapenda soka basi ni burudani sans ..chelsea ya lampard pia tunaelekea huko hukoNajua.[emoji23]