Ni Celebrity yupi unaetamani kutoka nae?

Dah umeniwahi kinomanoma mkuu mondray.
Basi wacha nimchukue huyu
Inanna Sarkis(comedian)
Bwana weee nampenda huyo yaan bora niconvert muvi yake then niwe nasikiliza sauti yake.
 
Haa haa kumbe tunakaugonjwa kamoja la sauti nimestukia hilo karibu kumsearch huyu you tube ana kasauti ka hivyo pia alafu young kinoma Mkanada.
 
Wakubwa wanafaidi.. Ngoja nivune nyanya zangu nimsake
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuna mwingine anaitwa Lele pons
Mvenezuela aisee dah watoto ni moto wq kuotea mbali kabisa kwenye visu vikali wanakula nyama nzuri sana.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuna mwingine anaitwa Lele pins
Mvenezuela aisee dah watoto ni moto wq kuotea mbali kabisa kwenye visu vikali wanakula nyama nzuri sana.
Hahaaaaa ila Scarlet she is the best
Mkwanja bhabha ndio shida
 
Hahaaaaa ila Scarlet she is the best
Mkwanja bhabha ndio shida
Dah kweli hela ni ya kutafuta mkuu!
Chibu naye eti alimwona yule mnama aisee angetakiwa avute dang'a kama hizo.
Ngoja nisake mkwanja.
 
Daaah aisee mimi nampenda sana huyu mwanamke Scarlett Johansson
Ni muigizaji wa filamu kama vile
Avengers 1&2
Avengers_Age of ultron.
Lucy etc.
Nakapenda sana haka kabibie hasa ile sauti yake ya kukwaruza ndio inanivutia.
Wewe je?
Chidnma nampenda sana
 
Dah kweli hela ni ya kutafuta mkuu!
Chibu naye eti alimwona yule mnama aisee angetakiwa avute dang'a kama hizo.
Ngoja nisake mkwanja.
Alifuata pesa na kiki!
 
Daaah aisee mimi nampenda sana huyu mwanamke Scarlett Johansson
Ni muigizaji wa filamu kama vile
Avengers 1&2
Avengers_Age of ultron.
Lucy etc.
Nakapenda sana haka kabibie hasa ile sauti yake ya kukwaruza ndio inanivutia.
Wewe je?
Suzy Wa EATV namkubali sanaaa
 
Wanaume tuna upendo wa jumla,tunaweza penda hata totoz karibu mia kwa wakati,kuna yule mhindo priyanka chopra huyu Dada basi tu
 
Daaah aisee mimi nampenda sana huyu mwanamke Scarlett Johansson
Ni muigizaji wa filamu kama vile
Avengers 1&2
Avengers_Age of ultron.
Lucy etc.
Nakapenda sana haka kabibie hasa ile sauti yake ya kukwaruza ndio inanivutia.
Wewe je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…