Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Bro we nani anakuvutia huko USA babyNaona maceleb wa USA wanang'ara sana.
USA baby...the greatest country ever.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro we nani anakuvutia huko USA babyNaona maceleb wa USA wanang'ara sana.
USA baby...the greatest country ever.
Haa haa kumbe tunakaugonjwa kamoja la sauti nimestukia hilo karibu kumsearch huyu you tube ana kasauti ka hivyo pia alafu young kinoma Mkanada.Bwana weee nampenda huyo yaan bora niconvert muvi yake then niwe nasikiliza sauti yake.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wakubwa wanafaidi.. Ngoja nivune nyanya zangu nimsake
Dah kweli hela ni ya kutafuta mkuu!Hahaaaaa ila Scarlet she is the best
Mkwanja bhabha ndio shida
Hahaaaaa ila Scarlet she is the best
Mkwanja bhabha ndio shida
Chidnma nampenda sanaDaaah aisee mimi nampenda sana huyu mwanamke Scarlett Johansson
Ni muigizaji wa filamu kama vile
Avengers 1&2
Avengers_Age of ultron.
Lucy etc.
Nakapenda sana haka kabibie hasa ile sauti yake ya kukwaruza ndio inanivutia.
Wewe je?
Suzy Wa EATV namkubali sanaaaDaaah aisee mimi nampenda sana huyu mwanamke Scarlett Johansson
Ni muigizaji wa filamu kama vile
Avengers 1&2
Avengers_Age of ultron.
Lucy etc.
Nakapenda sana haka kabibie hasa ile sauti yake ya kukwaruza ndio inanivutia.
Wewe je?
Kaka uko kama Mimi,hasa kwenye ile ngoma ya ololufe,na perfect combo,na nyimbo zake Mimi huwa namuangalia yeye tuChidnma nampenda sana
Daaah aisee mimi nampenda sana huyu mwanamke Scarlett Johansson
Ni muigizaji wa filamu kama vile
Avengers 1&2
Avengers_Age of ultron.
Lucy etc.
Nakapenda sana haka kabibie hasa ile sauti yake ya kukwaruza ndio inanivutia.
Wewe je?