Ni Celebrity yupi unaetamani kutoka nae?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndio unakwenda au unapunga?
Daby takuchapa!!
Haha.... shemeji hivi nije nikuchukue kweli au unataka kunifanyia yale ya nenda nitakufuata wakati nyumba nimeshavunja! Tuwekane sawa kwanza ndiyo majibu yajibiwe
 
Nimeona mwili umebadilika gafla.

Haya umeniisha kuanzia sasa hivi. [emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mtajeeeee.....
 
Haha.... shemeji hivi nije nikuchukue kweli au unataka kunifanyia yale ya nenda nitakufuata wakati nyumba nimeshavunja! Tuwekane sawa kwanza ndiyo majibu yajibiwe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kumbe haujafika tu!! Wakati nipo hapa nje na mizigo nakusubiri muda wote.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kumbe haujafika tu!! Wakati nipo hapa nje na mizigo nakusubiri muda wote.
Haya njoo mama... nikishakushika mkono ole wako niskie mo wala mu

Halafu jina libadilike
 
Nani tehna huyo... maana hata makonda nitamtaja hapa bila kumsahau ROMA
Mkeo kakuambia umtaje ndio nami nimeweka msisitizo. Kwahiyo unataka kutoka na makonda[emoji134] [emoji85] [emoji125] [emoji125]
 
Haya njoo mama... nikishakushika mkono ole wako niskie mo wala mu

Halafu jina libadilike
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mbona unaanza vitisho tena!! Nawe utaacha urafiki na chovya chovya Bonny?
 
Mkeo kakuambia umtaje ndio nami nimeweka msisitizo. Kwahiyo unataka kutoka na makonda[emoji134] [emoji85] [emoji125] [emoji125]
Mfyuuuuuu...

Kaangalie pale post ya pili kwenye uzi nilishamtaja my celeb
 
Ooooh yule binti!! Safi sana. Na mkeo je?
Binti gani tena? Wa tangazo? Nuh my celeb ni dawa tatu binti simjui wala... hapo mbele sijaelewa nimeona je? Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…