Ni Celebrity yupi unaetamani kutoka nae?

Ni Celebrity yupi unaetamani kutoka nae?

Binti gani tena? Wa tangazo? Nuh my celeb ni dawa tatu binti simjui wala... hapo mbele sijaelewa nimeona je? Tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Chizi wewe!!
Yaani dawa tatu ndio celeb wako!! Kivipi sasa?
 
Daaah aisee mimi nampenda sana huyu mwanamke Scarlett Johansson
Ni muigizaji wa filamu kama vile
Avengers 1&2
Avengers_Age of ultron.
Lucy etc.
Nakapenda sana haka kabibie hasa ile sauti yake ya kukwaruza ndio inanivutia.
Wewe je?

Denzel Washington..uwiiii mi kwa huyu mtu niko hoi.haijalishi utuumiza wake kadi ya clinic anayo mama ake.kwangu bado kijana
 
Ana Kendrick star wa pitch perfect
Napendaga sana anavyo achaja mdomo wazii..
1491841118099.jpg
 
Back
Top Bottom