Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Uwiiiiiiiii!! Huyo ndio nyoka nisotaka hata kumsikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwiiiiiiiii!! Huyo ndio nyoka nisotaka hata kumsikia.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Binti gani tena? Wa tangazo? Nuh my celeb ni dawa tatu binti simjui wala... hapo mbele sijaelewa nimeona je? Tu
Ndoa na nani? Kwani my dada una mume[emoji134] [emoji134]Nilikuwa nalinda ndoa maana ilianza kutetereka
Msalimie Honey Faith[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Chizi wewe!!
Yaani dawa tatu ndio celeb wako!! Kivipi sasa?
Hivi si ulikuwaga unamsarandia yeye na Khantwe, mliishia wapi?Msalimie Honey Faith
Hivi kumbe wewe haunipendi eeeh?
Why?Hivi kumbe wewe haunipendi eeeh?
Mbona unakuja kwqngu kwa muda.Why?
Nikikosa mme mji huu wa makondakta ni bora nirudi kijijini kulimaNdoa na nani? Kwani my dada una mume[emoji134] [emoji134]
hahaha, we kwa pesa nakuaminiana pesa zake
Daaah aisee mimi nampenda sana huyu mwanamke Scarlett Johansson
Ni muigizaji wa filamu kama vile
Avengers 1&2
Avengers_Age of ultron.
Lucy etc.
Nakapenda sana haka kabibie hasa ile sauti yake ya kukwaruza ndio inanivutia.
Wewe je?