We ndo unamkomaza kule kwenye kajukwaa kenu
Siku hizi kamekua unaona mapozi yake? Hata mimi babamdogo wake kananipa wakati mgumu
aiseeShemeji wewe vimba tu. Ujue sina uchoyo jana ulininyima cake ila leo nakukaribisha linyama
[emoji39] [emoji39] ukiniwekea na ndizi za kuchoma hapo na kinywaji changu cha baridi daah roho inasuuzikaShem na hii wakufungie take away tafazali...
Ulifichwa wapi wewekho kho kho nyie mnapenda vyakula gani jaman
hahahha na makinikiaUlifichwa wapi wewe
Haujambo totohahahha na makinikia
Naona Unataka kunjenjuliwa wewehahahha na makinikia
sijambo bamdogo angu shikamoo jamaanHaujambo toto
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Naona Unataka kunjenjuliwa wewe
Marahaba. Yaani mamdogo nimekumiss acha tu wewe hadi nywele zimesisimukasijambo bamdogo angu shikamoo jamaan
bamdogo acha uongo mbona haujanitafutaMarahaba. Yaani mamdogo nimekumiss acha tu wewe hadi nywele zimesisimuka
Hata usiponisalimia wewe ni mzuri tuNaona Unataka kunjenjuliwa wewe
Ningetokaje ndani nywele zinasisimuka sasa.bamdogo acha uongo mbona haujanitafuta
hivi bamdogo niulizie kamaanishana nini hapo kunjenjuliwaHata usiponisalimia wewe ni mzuri tu
hahahhh bamdogo weweNingetokaje ndani nywele zinasisimuka sasa.
Nimekuona kidogo ahueni
Eti kuchunywa kama makenikiahivi bamdogo niulizie kamaanishana nini hapo kunjenjuliwa